June 19, 2018





Mtibwa Sugar imefanikiwa kuingia fainali ya michuano ya vijana ya Kombe la Uhai.

Mtibwa Sugar imetinga fainali kwa kuichapa Simba kwa bao 1-0 katika mechi ya fainali ya Kombe la Uhai mjini Dodoma.

Baada ya kufanikiwa kucheza fainali, sasa Mtibwa Sugar inakutana na Stand United katika mechi inayosubiriwa kwa hamu.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic