May 31, 2021

 


JUNI 2,2021 kesi ya Bernard Morrison itaanza kusikilizwa upya baada ya CAS kutupilia mbali suala la rufaa ambayo ilikatwa na mchezaji huyo.


Sakata lake na Yanga ni kuhusu mkataba wake ambapo Yanga walikuwa wanadai kwamba nyota huyo alikuwa na kandarasi ya miaka miwili jambo ambalo mchezaji alisema kuwa amesaini dili la miezi sita.


18 COMMENTS:

  1. Be professional don't be an idiot,utakwama nasi wasomaji tuna akili

    ReplyDelete
    Replies
    1. Upumbavu mtupu. Mashabiki wa Yanga wamekuwa wakichezewa akili zao kila uongozi unapovurunda kwenye timu yao. Hapa wanajaribu kuleta hoja ya Morrison na sio ya Carinho? ili kuziba uozo wao.CAS huwa wanavuna taarifa zao muhimu kutoka kwa mwakilishi mama wa FIFA ambao ni TFF.

      Delete
    2. Una elimu au maarifa ya mpira au una matusi mdomoni?

      Delete
  2. At least you have something to talk about this season, sio tena habari ya ubingwa coz mshaukatia tamaa

    ReplyDelete
  3. Lile bao limewatia kiwewe, duniani kweli kuna ving'ang'anizi. Tunasubiri mavuno.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mliambiwa mje mezani na malipo yafanyike kwa kufuata utaratibu wa mkataba mkaona ujinga. Tulieni kama mko kwa kinyozi.

      Delete
    2. hakuna kwenda mezani vitu vya dhuruma...vipi mmeishamuongeza mkataba Fisto na Saido

      Delete
  4. Yes, Bingo teh teh

    ReplyDelete
  5. Calinhos kawakimbia mmemkumbuka morrisson tena, mtakuwa mnaumwa. Sasa wale waandishi takataka watapata cha kujadili

    ReplyDelete
  6. Haina shida, lipeni chetu hatutaki zaidi

    ReplyDelete
  7. Mtasubiri sana kama mbavyosubiri ubingwa, vyote hampati

    ReplyDelete
  8. Haki siku zote haipotei, huchelewa tu, kama Young Africa wapo kwenye Haki wataipata tu, ni suala la muda tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. na kama Morrison yuko kwenye haki ataendelea kuipata kama alivyoipata kabla

      Delete
  9. Masikini roho zao. Wanafikiria kukutana nae hiyo siku ya siku na kuwafedhehesha. Hawa mabingwa WA jadi WA kufunguwa kesi za hovyo kufika hadi Sasa kama waliopata wazimu.

    ReplyDelete
  10. Mganga wao anawaweka pabaya wanarusha mateke katika chumba cha giza kwani ushahidi gani mpya waliokuwa nao Sasa hapo mwanzo hawakywa nao.

    ReplyDelete
  11. Mtupe na mrejesho siyo mara kimya!!

    ReplyDelete
  12. Kila huyu jamaa alifunga taarifa za kesi zinaibuka hivi Hawa viongozi wametugeuza sisi ni mavehu

    ReplyDelete
  13. imekuwa kawaida kila Morrison akifunga goli ndiyo habari ya maendeleo ya kesi hutokea.. mara ya mwisho tulipopata maaendeleo ya kesi ni pale muda mfupi baada ya kufunga..tukaambiwa kesi imekubaliwa na wameamya kumlipia ada.
    Ingeaaminika zaidi kama ni CAS wanaiandikia Yanga halafu waonwakaposti taarifa hiyo original...hiyo barua mtu yeyote anaweza ichapisha..na kuibandika

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic