June 10, 2018




Wakati mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Jitu ametolewa katika mkutano wa Yanga kwa madai anapinga mabadiliko.

Mtu anayesubiriwa kwa hamu kuingia katika mkutano huyo ni Ibrahim Akilimali.

Mzee Akilimali anasubiriwa kwa hamu na wanachama hao lakini hadi sasa hajawasili.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic