June 18, 2018




Sweden imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Korea Kusini katika mechi ya Kundi H hatua ya makundi katika Kombe la Dunia.

Sweden ilipata bao lake kwa mkwaju wa penalti baada ya  beki wa Korea Kusini kufanya madhambi enero la hatari na kumlazimisha mwamuzi kutumia mfumo wa VAR kupata uhakika.

Mlinzi na nahodha wa Sweden Andreas Granqvist ndiye aliyechukua jukumu la kupiga mkwaju huo na kuukwamisha wavuni.



Sweden (4-4-2): Olsen 6; Lustig 6, Granqvist 8, Jansson 6, Augustinsson 6; Claesson 7, Ekdal 6 (Hiljemark 71), Larsson 7 (Svensson 81), Forsberg 5; Toivonen 5 (Thelin 76), Berg 5.
Subs not used: Johnsson, Lindelof, Olsson, Guidetti, Helander, Krafth, Rohden, Durmaz, Nordfeldt.
Goals: Granqvist 65
Bookings: Claesson
Manager: Janne Andersson 6 
South Korea (4-3-3): Cho Hyun-Woo 8; Lee Yong 6, Kim Young-Gwon 7, Jang Hyun-Soo 6, Park Joo-Ho 6 (Kim Min-Woo 29, 5); Koo Ja-Cheol 5 (Lee Seung-Woo 73), Ki Sung-Yueng 6, Lee Jae-Sung 6; Hwang Hee-Chan 5, Kim Shin-Wook 5 (Jung Woo-Young 66), Son Heung-Min 7.
Subs not used: Kim Seung-Gyu, Jung Seung-Hyun, Oh Ban-Suk, Yun Young-Sun, Ju Se-Jong, Hong Chul, Moon Seon-Min, Kim Jin-hyeon, Ko Yo-Han.
Goals: None
Bookings: Seung-Woo, Hee-Chan
Manager: Shin Tae-yong 5 
Referee: Joel Aguilar 6

Attendance: 42,300









0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic