July 18, 2018



Kikosi cha Lipuli FC kikiwa ndiyo kimerejea Ligi Kuu Bara msimu uliopita kimeweka rekodi mpya ya mapato kwa maana ya nafasi.

Lipuli FC imeshika nafasi ya tatu kwa mapato katika msimu wa 2017/18 kikiongozwa na Simba na kufuatiwa na Yanga.

Lipuli FC imeingiza Sh milioni 71.9 kwa mechi zote 30 walizocheza kwa msimu mzima.

Mabingwa wa soka Tanzania, Simba ndiyo timu iliyoingiza fedha nyingi zaidi katika viingilio vya mlangoni wakati wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2017-18.

Katika mechi 30 ilizocheza, Simba imefanikiwa kuingiza kitita cha Sh milioni 380.8 ikifuatiwa na Yanga yenye milioni 257.2.

MAPATO YA MLANGONI LIGI KUU BARA 2017-18

Simba      380,867,592
Yanga      257,113,365
Lipuli          71,908,665
Singida      68,939,621
Mbeya       54,766,008
Mbao         51,719,270

1 COMMENTS:

  1. Ofcoz Lipuli Fc tulistahili kushika nafasi hiyo, Unajua wakazi wa Iringa na mikoa jirani kama njombe tulimisi sana uwepo wa team yetu ya lipuli ligi kuu ndio maana hata kwenye mech za kawaida mahudhurio yanakua makubwa.. i wish msimu unaokuja tutafanya vzur zaid ya hapo

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic