July 18, 2018





Mabingwa wa soka Tanzania, Simba ndiyo timu iliyoingiza fedha nyingi zaidi katika viingilio vya mlangoni wakati wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2017-18.

Katika mechi 30 ilizocheza, Simba imefanikiwa kuingiza kitita cha Sh milioni 380.8 ikifuatiwa na Yanga yenye milioni 257.2.

Hata hivyo, pamoja na fedha hizo ambazo wanaonekana kuingiza watani hao kwa msimu mzima, inaonyesha mapato ya mlangoni yameporomoka kwa kiasi kikubwa sana.

Kama utagawanya kwa mzunguko mmoja wa mechi 15, maana yake Simba iliingiza Sh milioni 190 tu ambacho ni kiwango cha chini zaidi.




MAPATO YA MLANGONI LIGI KUU BARA 2017-18
1. Simba      380,867,592
2. Yanga      257,113,365

1 COMMENTS:

  1. TFF ikijaribu kuboresha ligi ili iwe na ushindani na mvuto kama kuongenza wachezaji wa kigeni lkn wadau wa soka full kulalamika kuwa tutaua vipaji na timu ya taifa itakuwa dhaifu ...hoja ambazo binafsi naona hazina mashiko.Wachezaji wa klabu wameshaingia kwenye mfumo wa professional player na sio tena ameature.professional player anacheza na kulipwa hivyo anatakiwa ailetee matokeo chanya ili klabu ivutie mashabiki kuingia uwanjani ili mapato yawe Makubwa.vipaji tukaangalie ndondo na umiseta

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic