Mkurugenzi-mwenza wa Taasisi ya SOMI, Prof. Julian Murchison akimkabidhi zawadi kiongozi wa Kikundi cha Keifo kilichoibuka kidedea katika mashindano ya ngoma za asili kwenye Tamasha la Majimaji Selebuka, Peter Mwampagatwa.
Mkurungenzi-mwenza wa Taasisi ya SOMI, Prof, Julian Murchison akimkabidhi zawadi mwakilishi wa Kikundi cha Sonamcu, Bakari Haule ‘Kagunga’ kilichoshika nafasi ya pili katika mchuano wa ngoma za asili kwenye tamasha la majimaji Selebuka linaloendelea mjini Songea.
Job weldone
ReplyDelete