Kikosi cha Singida United kimeendelea kujiimarisha kwa ajili ya msimu ujao wa 2018-19.
Athanas amejiunga kama na Singida United kama mchezaji huru baada ya kumaliza masomo yake pale Alliance Academy Jijini Mwanza.
Akiwa uwanjani Athanas anacheza nafasi ya mshambuliaji wa kati na pembeni
huyu mtoto alipaswa kupata timu nje,ana uwezo mkubwa.
ReplyDeletehuyu mtoto alipaswa kupata timu nje,ana uwezo mkubwa.
ReplyDelete