July 27, 2018




Mkurugenzi wa Singida United, Festo Sanga amelaani kitendo cha uongozi wa Yanga kusema beki waliopewa hakuwa na kiwango cha kuichezea Yanga.

Beki, Elisha Mloiwa raia wa Zimbabwe alitua Yanga na wao waliamua kumuacha baada ya kumsajili Yondani saa nne usiku.

“Mloiwa ni mchezaji mwenye kiwango kizuri, alicheza Afcon. Vipi unasema hana kucheza Yanga, hii dharau inatokea wapi, hili si jambo zuri,” alisema.

Sanga amesisitiza kwamba mchezaji huyo ataitumikia Singida United na anaamini atawaonyesha Yanga kiwango chake.

Ameendelea kusisitiza kawa kwamba viongozi wa Yanga wanataka kuwadanganya wanachama wao.

2 COMMENTS:

  1. KLABU YA YANGA INAHUJUMIWA YAANI KUNA "KIRUSI" PALE YANGA SIJUI NI NANI INAWEZEKANA MTANDAO HUU UMESUKWA KWA MUDA MREFU...UNAMUHUSISHA KOCHA MWINYI ZAHERA, HIVI HUYU KOCHA ATAWEZAJE KUKATAA BEKI AMBAYE ANAKUJA KUZIBA MAPENGO YA NAMBA 2 NA TANO? UNAACHA WACHEZAJI, HALAFU UNAPEWA BEKI MZIMBABWE BURE HALAFU UNAMKATAA...KWELI? HAYA UNAWAACHA WACHEZAJI AMBAO WAMEKUHUDUMIA MSIMU MZIMA KWA KUTOLIPWA MSHAHARA.....BADO HAUJAFANYA USAJILI WA KUZIBA MAPENGO YA WACHEZAJI WALIONDOKA...BEKI NAMBA 2 NA 5, WASHAMBULIAJI NAMBA 9, 10, 11, KIUNGO NAMBA 6....HALAFU UNATAKA WATANZANIA ASILIMIA 55% AMBAO NI WAPENZI WA KLABU WAJE UWANJANI, KUANGALIA TIMU IPI? NATABIRI MAPATO YA UWANJANI KUPOROMOKA, HAMASA YA KWENDA KWENYE MECHI KUPUNGUA....HATIMA YA SOKA LA TANZANIA KUPOROMOKA..

    ReplyDelete
  2. Juma pili siombali sanga utamuonea huruma huyo nyika.km namuona apoondoka dk60 maana haotoami wananchi watakavyo mbadilikia twende tukaijaze taifa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic