SERENGETI BOYS YAMALIZA NAFASI YA TATU CECAFA
Kikosi cha Serengti Boys kimemaliza mashinda ya CECAFA chini ya miaka 17 kwa ushindi wa mabao 4-3 kwa njia ya matuta.
Ushindi huo umekuja kufuatia kumaliza dakika 90 kwa sare ya mabao 2-2.
Serengeti imemaliza hatua hiyo baada ya kutolewa na Uganda ambayo ipo dimbani hivi sasa kucheza na Ethiopia kwenye mchezo wa fainali, mabao 3-1.
Mechi ya fainali kati Uganda na Ethiopia imehudhuriwa na Rais wa Shirikisho la Soka Afrika, Ahmad Ahmad.
0 COMMENTS:
Post a Comment