August 26, 2018







Kwa mara nyingine tena SportPesa yapiga hodi Mafinga Iringa, kwa kijana mwingine ajulikanae kama Steven aliyebashiri michezo tisa kwa shilingi 2000 na kujishindia shilingi 2,363,754.

  Akiongea mara baada ya ushindi huo Steven amesema fedha zake za ushindi ziliingia mara baada ya mchezo wa mwisho kukamilika hii ikiwa ni sifa kuu ya SportPesa. 

  "Nilibeti michezo tisa nikaweka shilingi 2000 tu na nikajishindia shilingi 2,363,754, na fedha zangu ziliingia dakika tano tu baada ya mchezo wa mwisho" Alisema


  "Fedha hizi nitazitumia kupaulia nyumba yangu ambayo niliitelekeza kwa sababu ya ukosefu wa fedha, nawashauri watu wote tutumie hii fursa kwa kuwa fedha zipo SportPesa" Aliongeza

  Kampuni ya ubashiri wa michezo ya SportPesa imeendelea kujijengea umaarufu mkubwa kutokana na kuwa na odds bora kuliko makampuni yote, lakini pia malipo yake kwa washindi ni ya haraka, papo kwa hapo mara baada ya ushindi bila ya kuwa na mzunguko

  SportPesa pia inahusisha watu wote hata wale ambao hawana jinsi ya kufikia mtandao kwani imewekwa njia ya kubeti kwa kutumia ujumbe mfupi wa maandishi yaani SMS. 

  Wakati huo huo Jackpot ya Sportpesa wiki hii imefikia shilingi mil 310,049,120 hii ikiwa ni Jackpot kubwa kuliko zote kwa mtu atakayebashiri michezo 13 tu kwa gharama ndogo ya sh 2000

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic