September 7, 2018


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amewasekwa ndani mwenyekiti wa kijiji cha Natta na Mtendaji wake kwa tuhuma za ubadhilifu wa pesa za kijiji kiasi cha zaidi ya Tsh. Milioni 300 zinazotolewa na BWU kila mwezi.

Magufuli ametoa maagizo hayo leo wakati akiwa ziarani mkoani Mara na kutatua kero za wananchi na kuzindua miradi mbalimbali ya serikali.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic