September 7, 2018





Mabingwa wa soka Tanzania, Simba wamefanya mazoezi yao ya mwisho kabla ya mechi ya kirafiki dhidi ya AFC Leopards.


Simba wanawavaa Leopards katika mechi ya kirafiki kesho jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya kuendeleza ubora.



Kocha Patrick Aussems ameendelea kukinoa kikosi hicho tayari kwa mechi hiyo na zaidi leo Simba waliuchezea mpira.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic