September 7, 2018



Kikosi cha Taifa Stars kimefanya mazoezi yake ya mwisho leo tayari kuwavaa wenyeji wake Uganda, kesho.

Stars walifanya mazoezi yao kwenye Uwanja wa Mandela jijini Kampala tayari kwa mechi hiyo ya kesho kuwania kucheza Afcon dhidi ya The Cranes.

Wachezaji wake wakiongozwa na nahodha Mbwana Samatta walionyesha kuwa katika hali nzuri na tayari kwa kasi ya kesho.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic