September 19, 2018


Ofisa Habari wa klabu ya Mabingwa Haji Manara amesema wamejiandaa vyema kuikabili Yanga katika mechi yao ya watani wa jadi Ligi Kuu Bara.

Manara amesema simba ndio mabingwa hakuna asiyejua hivyo lengo lao kuibuka na ushindi katika mechi zao zote za Ligi Kuu akikiri kuwa ni matatizo madogo tu ambayo yametokea baadhi ya mechi lakini anawaahidi mashabiki wa Simba kufanya vizuri.



1 COMMENTS:

  1. Waandishi msizushe mambo clip tunazo aliyeumbuliwa no Manara maana yeye hataki kuwatambua mabingwa wa kuhistoria yaani yanga mbona cc tunatambua simba in bingwa?Waandishi msinogeshe magazeti kiivyo hapo Hanna aliyeumvuliwa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic