October 17, 2018




Mbio za Shinda zaidi na SportPesa zinazidi kunoga na washindi wa Bajaj wanazidi kupatikana timu ya ushindi safari hii imeweka kambi mkoa wa Sengerema, Mwanza.


Na Hapa mshindi ni Mayala Mabula ambaye alishinda na SportPesa kwenye Droo ya Nane kama kawaida ya washindi wengine na yeye aliupokea ushindi huu kwa aina yake na jambo lililomshangaza ni kuona timu ya SporPesa imetoka Mpaka jijini Dar es salaam Mpaka mkoani Mwanza kwa lengo la kumkabidhi Bajaj yake Mara baada ya kushinda.


"Hakuna siku nimefurahi kama leo wakati naanza kucheza na SportPesa kutumia simu yangu ya mkononi kwa kupiga *150*87# nilidhani ningeshinda pesa pekee niliamini hivyo maana sikundhani kama huu mchongo wa bajaji ni kweli nilijua labda wanapewa watu Dar es salaam kumbe yeyote anayecheza anaweza kushinda ama kweli sasa nimeamini kumbe ni kweli jamanii," alisema Mabula.


Mshindi huyo wa Droo ya Nane anaeleza kuwa tangu ameanza kucheza na SportPesa ni mwezi mmoja na nusu umepita na inakuwa kama Zawadi kubwa sana katika mikakati na mipango aliyonayo kimaendeleo.


Aidha alisema kupitia bajaj hiyo tayari anaenda kuanza Maisha mengine mapya kwani itamsaidia kuinuka kiuchumi ikiwa ni pamoja na kuwasaidia wazazi wake, kuweza kupata ada ya kumlipia mtoto wake ambaye anasoma kidato cha sita huku pesa nyingine atakayoingiza kwenye Bajaj hiyo itamsaidia kuanza kujenga nyumba ya kuishi.


Unaweza kuona kama miujiza vile lakini mambo haya ni ya kweli kabisa na kila mtu anaweza kushinda na kumiliki Bajaj kwa sababu SportPesa wanatoa Bajaj moja kila siku kwa mtanzania anayetupia ubashiri wake na na Timu hii ya ushindi.


Zoezi hili litachukua Muda wa siku mia, yawezekana huu ndio wakati wako kuuaga umaskini na kuandika Historia Mpya piga *150*87# uanze kucheza na SportPesa au cheza kupitia tovuti www.sportpesa.co.tz hauhitaji simu ya kuchagua kwa sababu simu yeyote unaweza cheza na SportPesa Iwe ya kitochi au smartphone, cheza Mara nyingi zaidi uongeze nafasi ya kushinda.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic