MECHI ZOTE ZA LIGI KUU TANZANIA BARA LEO OKTOBA 7 2018 HIZI HAPA
Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea tena leo kwa viwanja vitaty kutimua vumbi katika mikoa mbalimbali hapa nchini.
Yanga ambao ni mabingwa wa kihistoria kwa kutwaa ubingwa huo mara 27 watakuwa Uwanja wa Taifa kuwakaribisha Mbao FC ya jijini Mwanza.
Mechi zote kwa ujumla hizi hapa
Yanga vs Mbao FC
Biashara United vs Mwadui FC
JKT Tanzania vs Alliance Schools
0 COMMENTS:
Post a Comment