VIDEO: KOCHA YANGA AWACHANA SIMBA KWA STAILI HII
Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera ameongea na wandishi wa habari kuhusiana na mchezo wa jumapili wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Ndanda kutoka Mtwara
Zahera ametaja baadhi ya nyota wa timu hiyo watakaoikosa mechi hiyo huku wengine waliokosa michezo iliopita wakitarajiwa kurejea katika mchezo huo.








Hawawezi kukata ligi hamjaenda mbeya...halafu we we made wa ndombolo ndiyo ulikuwa wa kwanza kulalamikia ratiba ya kwanza kabisa ya TFf eti iliwaonea yanga kunza ugenini wakati wangene wanaanzia nyumbani
ReplyDeleteHa haha utakuwa kweli unatamani ligi ikatike SAA hii...safari bado..Ndio uende mikoani ni kagoli kako kamoja na Pasi za kubutua mbele baada ya kuwa umepaki basi kwa muda..ukitoka nje ya Dar tu utachezeshwa ndombolo ya solo hata na Alliance!
ReplyDeletehuyu jamaa anaongea sana, au ndiye aliyepewa cheo cha usemaji wa klabu? Maana kiwango cha usemaji kama kinazidi kiwango cha ukocha!
ReplyDelete