November 3, 2018

3 COMMENTS:

  1. Hawawezi kukata ligi hamjaenda mbeya...halafu we we made wa ndombolo ndiyo ulikuwa wa kwanza kulalamikia ratiba ya kwanza kabisa ya TFf eti iliwaonea yanga kunza ugenini wakati wangene wanaanzia nyumbani

    ReplyDelete
  2. Ha haha utakuwa kweli unatamani ligi ikatike SAA hii...safari bado..Ndio uende mikoani ni kagoli kako kamoja na Pasi za kubutua mbele baada ya kuwa umepaki basi kwa muda..ukitoka nje ya Dar tu utachezeshwa ndombolo ya solo hata na Alliance!

    ReplyDelete
  3. huyu jamaa anaongea sana, au ndiye aliyepewa cheo cha usemaji wa klabu? Maana kiwango cha usemaji kama kinazidi kiwango cha ukocha!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic