Kipindi cha Spoti Hausi kimefanyika tena jana kwa wachambuzi wako kukuletea mambo mbalimbali kuhusu michezo.
Mbali na mambo watakayojadili, ni pamoja na usajili wa Ligi Kuu Bara ambao unafunguliwa kesho, mechi ya Taifa Stars dhidi ya Lesotho itakayopigwa kesho lakini pia kasi ya ligi mbalimbali barani Ulaya.








Mwandishi rudi darasani kasome tena,acha kutupotezea muda
ReplyDelete