BREKING: SIMBA KUKUTANA NA AL AHLY YA MISRI LIGI YA MABINGWA AFRIKA, MAKUNDI HAYA HAPA
Droo ya makundi katika Ligi ya Mabingwa Afrika tayari imeshafanyika ambapo Simba SC inayoiwakilisha Tanzania imewekwa kundi D ambalo timu mojawapo iliyopo ni Al Ahly ya Misri.
KUNDI A
1. Lobi Stars (Nigeria)
2. ASEC Mimosa (Ivory Coast)
3. Mamelodi Sundowns (Afrika Kusini)
4. Wydad Casablanca (Morocco).
KUNDI B
1.FC Platinum (Zimbabwe)
2.Orlando Pirates (Afrika Kusini)
3.Horoya SC (Guinea)
4.Esperance De Tunis (Tunisia)
KUNDI C
1. Ismaily SC (Misri)
2. CS Constantinous (Algeria)
3. Club Africain (Tunisia)
4. TP Mazembe (DR Congo)
KUNDI D
1. JS Souara (Algeria)
2. Simba SC (Tanzania)
3. AS Vita Club (DR Congo)
4. Al Ahly (Misri)
Safi Sana
ReplyDeleteSimba robo fainali nilazima😝😝
ReplyDeleteSimba robo fainali nilazima����
ReplyDeleteJepesi sana lazima tuvuke. Mungu ibariki SIMBA SC na TANZANIA kwaujumla
ReplyDeleteAwe Alhaly au Zamalek lazima watasonya kusikia wapo kundi moja na Simba. Simba hawana cha kuhofu hasa kwa Simba ya akina Clateus Chama watanzania na wanasimba na wana Africa ya Mashariki lazima wakae mkao wa kula burudani aina yake. Serikali ingekuwa vizuri kutafuta njia muufaka pia ya kuiwezesha Simba ili iwe na ushiriki wa tija katika mashindano hayo.
ReplyDeleteSio kundi baya ila tujiandae kupambana kiume!
ReplyDeleteMara nyingi huwa tunazi-underate timu tusizozifahamu, Ni kosa kubwa. Tujiandae, kila mechi Ni fainali!
ReplyDeleteMara nyingi huwa tunazi-underate timu tusizozifahamu. Ni kosa kubwa. Tujiandae kupambana na kila mechi Ni fainali!
ReplyDeleteKosa lingine kubwa Ni kuto-kuheshimu wapinzani wetu. Na hili Ni kosa la kitaifa!
ReplyDeleteMungu unajua mafanikio yetu unayo eeh mungu twaomba tena utuvushe tena
ReplyDeletetimu iliyofungwa na mashujaa wa Kigoma kweli inaweza kufika popote?
ReplyDeleteYaani hakuna 0 kama wewe Duniani! Unawezaje kufananisha kikosi cha Simba dhidi ya Nkana au Waswati na kile kikosi kilichocheza na mashujaa? Kuna watu pumba kweli Duniani hapa! mfano wake ni wewe.
DeleteMungu yuunasi atajalia
ReplyDeleteubingwa simba lazima
ReplyDelete