December 28, 2018

8 COMMENTS:

  1. Kikubwa kujipanga na kujua haya ni mashindano makubwa na muhim kwa nchi yetu

    ReplyDelete
  2. Tumuombe Mungu timu ya Simba inayowakilisha Tanzania aifagilie njie iwe nyeupe kueleka mafanikio makubwa. Mungu aibariki Tanzania

    ReplyDelete
  3. Hakuna kundi jepesi katika timu 16 zilizomo ndani ya makundi. Ila Simba na wachezaji wake wamepata nafasi hadimu ya kujitangaza na kuitangaza nchi kama watafanya vizuri. Wamisri hawana jipya mbele ya Simba wao wenyewe wanajua. Warabu wa Africa kwa Simba huwa siku zote wanataabika. Simba ya mwaka jana iliyokuwa ya kawaida iliwataabisha Almasry kwao Misri huku wakiombea mpira umalizike kwa hivyo Simba tuiamini na tuipe sapoti kubwa ili ifanye vizuri.

    ReplyDelete
  4. Nyie semeni tu kundi jepesi, hata mashujaa walionekana wepesi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bro mbona hapa ni pengine na mashujaaa pengine ni mikakati tu inahitajika.

      Delete
    2. hahaaahaaa...mbavu zangu

      Delete
  5. Naona mnarahisisha tu Mashujaa mliwashindwa Al Ahli watawafunga maana kila mwaka wanakuja Bongo na hao wengine hakuna mbovu hata mmoja halafu leo mnasema kundi jepesi.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic