December 28, 2018






Simba inaweza kupangwa na timu mbili kutoka katika timu za Uarabuni kwa kuwa chungu cha tatu ambako ipo, kuna timu moja tu ya Afrika Kaskazini na nyingine sita ziko katika vyungu tofauti.

Mbili za Misri, Al Ahly na Ismaily, Esperance na Club African (Tunisia) na Waydad Casablanca na JS Saoura za Algeria zote ni sehemu ya timu ambazo Simba lazima itakutana kati ya hizo.

Shughuli ya upangwaji makundi imeanza na unaweza kufuatilia LIVE kupitia instagram ya salehjembefacts kuanzia sasa.

Bofya hapa kujiunga nasi  SALEH JEMBE SPORTS


1 COMMENTS:

  1. Wydad sio ya algeria,fanya research b4 hujaposti ndugu mwandishi wa habari...Wydad na Raja ni simba na yanga za jiji la casablanca nchini morocco,derby Yao usipime

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic