December 8, 2018


Baada ya kushinda kesi yake ambayo ilichukua miezi kadhaa mahakamani, Richard Wambura, hatimaye ameanza kazi rasmi kama Makamu wa Rais katika Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

Wambura ambaye alifutwa wadhifa huo na Kamati ya Maadili ikielezwa alihusika katika ubadhirifu wa fedha za TFF, alishinda baada ya kwenda kudai haki yake mahakamani na mwisho wa siku akaonekana hana hatia.

Kwa mujibu wa Wakili wake msomi, Emmanuel Muga, amefunguka na kueleza kuwa tayari mteja wake ameshaanza majukumu kama Makamu baada ya mahakama kumpa ushindi wa keshi aliyofungua.

Muga amesema kwa sasa Wambura ndiye Makamu na hana kifungo chochote kwa mujibu wa mahakama hivyo ataendelea na majukumu yake kama ilivyokuwa mwanzo kabla hajafungiwa kujihusisha na masuala ya soka.

"Tayari ameshaanza kazi, mahakama ilishamaliza kila kitu na hivi sasa ndiye Makamu kama ilivyokuwa mwanzo" alisema Muga.

2 COMMENTS:

  1. KURUDI KWA WAMBURA TFF IWE NI FUNDISHO KA RAISI WA TFF HAPA TANZANIA KWANI ANAACHA MAMBO YA MSINGI KATIKA KUKWAMUA SOKA LETU HAPA NA KUENDEKEZA MIGOGLO.KWA MANTIKI HII RAISI NA WOTE MLIOHUSIKA NA JAMBO HILI MKUBALI KULIPA GHARAMA ZOTE ZILIZOJITOKEZA WAKATI MAKAMU WA RAISI HAYUPO IKIWA NI PAMOJA NA KURUDISH HELA ALIZOPEWA KAMA MSHAHARA ALIEKUWA KAKAIMU NAFASI YAKE.YOU SHOUL SUFFER THE CONSEQUENCES ILI IWE FUNDISHO NEXT TIME.AIDHA TFF MMEKUWA CHANZO CHA SHIDA KATIKA KLABU YA YANGA KATIKA KUSIMAMIA UCHAGUZI NA BADALA YAKE MNA ENDESHA UCHAGUZI.KUSIMAMIA NA KUENDESHA NI VITU VIWILI TOFAUTI!ACHA YANGA IENDESHE UCHAGUZI WAKE YENYEWE,WAWATAFUTE VIONGOZI WAO,WAWHOJI,WAREJEE KWENYE KUMBKUBU ZAO KUHUSU MWENENDO MZIMA WA TABIA ZAO NA WAWAHOJI NINI WATIFANYA KATIKA KLABU YA YANGA NA TFF MSIMAMIE TU.SASA TFF MNAVYOENDESHA NIKAMA VILE VIONGOZI HAO WATAFANYA KAZI TFF .YANGA INA OFISI ZAKE,JENGO LAKE IWEJE TFF MKAWASAILI WAGOMBEA WA YANGA KATIKA OFISI ZA TFF?KUNA NINI MNAKIFANYA HATA WENYE KUTAKA KUIONGOZA YANGA WAJE KWENYE OFISI ZENU? VIONGOZI HAO WATAWAJIBIKA KWA NANI WANACHAMA AU TFF?NAWASHAURI MAMBO HAYATAFUTENI USHAURI KWA WAZOEFU NA SHERIA ZA KWENDESHA MPIRA HAPA NCHINI KAMA SAID EL MAAMRY,KINA RAGE,KIPINGU,NA MWANASHERIA MH NDOMBALO MTAPATA MWONGOZO SAHIHI,LA SIVYO MNALETA MGOGOLO KWA MASLAHI YENU.TUNATAKA MICHEZO KWA AMANI NA SIO MIGOGORO.AIDHA SASA MUUNDE KAMATI YA MAADILI YA VIONGOZI WA MICHEZO AMBAYO MOJA YA KAZI YAKE IWE NI KUSIMAMIA VIONGOZI WA MPIRA ILI WAKIKOSEA BASI IWE NA NGUVU WA KUWAWAJIBISHA ,NA SIO KUKURUPUKA NA KUFUNGIA FUNGIA VIONGOZI MAISHA WAKATI HAMNA UHAKIKA,NI KUKURUPUKA NA KUKOSA UTHUBUTU KATIKA UONGOZI.KAMA MTU YUKO TFF NA ANASEMA ANAJITOLEA KUFANYA KAZI BASI AE NA MIPAKA YA KAZI,ILA KATIKA KUJITOLEA HUKO ANAENDESHAJE MAISHA YAKE BILA KULIPWA?SIS NI WATU WAZIMA,NI LAZIMA ATAKUWA NAMASLAHI NAPO,HAIWEZEKANI IKAWA KUJITOLEA.TUFUATE SASA NYAYO ZA MHESHIMIWA KWA KUFANYA MAMBO YENYE TIJA KWA MANUFAA MAZURI YA TANZANA NA WANANCHI WAKE,MSIMWANGUSHE NA MSITUANGUSHE.

    ReplyDelete
  2. KURUDI KWA WAMBURA TFF IWE NI FUNDISHO KA RAISI WA TFF HAPA TANZANIA KWANI ANAACHA MAMBO YA MSINGI KATIKA KUKWAMUA SOKA LETU HAPA NA KUENDEKEZA MIGOGLO.KWA MANTIKI HII RAISI NA WOTE MLIOHUSIKA NA JAMBO HILI MKUBALI KULIPA GHARAMA ZOTE ZILIZOJITOKEZA WAKATI MAKAMU WA RAISI HAYUPO IKIWA NI PAMOJA NA KURUDISH HELA ALIZOPEWA KAMA MSHAHARA ALIEKUWA KAKAIMU NAFASI YAKE.YOU SHOUL SUFFER THE CONSEQUENCES ILI IWE FUNDISHO NEXT TIME.AIDHA TFF MMEKUWA CHANZO CHA SHIDA KATIKA KLABU YA YANGA KATIKA KUSIMAMIA UCHAGUZI NA BADALA YAKE MNA ENDESHA UCHAGUZI.KUSIMAMIA NA KUENDESHA NI VITU VIWILI TOFAUTI!ACHA YANGA IENDESHE UCHAGUZI WAKE YENYEWE,WAWATAFUTE VIONGOZI WAO,WAWHOJI,WAREJEE KWENYE KUMBKUBU ZAO KUHUSU MWENENDO MZIMA WA TABIA ZAO NA WAWAHOJI NINI WATIFANYA KATIKA KLABU YA YANGA NA TFF MSIMAMIE TU.SASA TFF MNAVYOENDESHA NIKAMA VILE VIONGOZI HAO WATAFANYA KAZI TFF .YANGA INA OFISI ZAKE,JENGO LAKE IWEJE TFF MKAWASAILI WAGOMBEA WA YANGA KATIKA OFISI ZA TFF?KUNA NINI MNAKIFANYA HATA WENYE KUTAKA KUIONGOZA YANGA WAJE KWENYE OFISI ZENU? VIONGOZI HAO WATAWAJIBIKA KWA NANI WANACHAMA AU TFF?NAWASHAURI MAMBO HAYATAFUTENI USHAURI KWA WAZOEFU NA SHERIA ZA KWENDESHA MPIRA HAPA NCHINI KAMA SAID EL MAAMRY,KINA RAGE,KIPINGU,NA MWANASHERIA MH NDOMBALO MTAPATA MWONGOZO SAHIHI,LA SIVYO MNALETA MGOGOLO KWA MASLAHI YENU.TUNATAKA MICHEZO KWA AMANI NA SIO MIGOGORO.AIDHA SASA MUUNDE KAMATI YA MAADILI YA VIONGOZI WA MICHEZO AMBAYO MOJA YA KAZI YAKE IWE NI KUSIMAMIA VIONGOZI WA MPIRA ILI WAKIKOSEA BASI IWE NA NGUVU WA KUWAWAJIBISHA ,NA SIO KUKURUPUKA NA KUFUNGIA FUNGIA VIONGOZI MAISHA WAKATI HAMNA UHAKIKA,NI KUKURUPUKA NA KUKOSA UTHUBUTU KATIKA UONGOZI.KAMA MTU YUKO TFF NA ANASEMA ANAJITOLEA KUFANYA KAZI BASI AE NA MIPAKA YA KAZI,ILA KATIKA KUJITOLEA HUKO ANAENDESHAJE MAISHA YAKE BILA KULIPWA?SIS NI WATU WAZIMA,NI LAZIMA ATAKUWA NAMASLAHI NAPO,HAIWEZEKANI IKAWA KUJITOLEA.TUFUATE SASA NYAYO ZA MHESHIMIWA KWA KUFANYA MAMBO YENYE TIJA KWA MANUFAA MAZURI YA TANZANA NA WANANCHI WAKE,MSIMWANGUSHE NA MSITUANGUSHE.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic