December 28, 2018


Imeripotiwa kuwa Rais wa klabu ya Real Madrid, Florentino Perez amerejesha mpango wa kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Misri na klabu ya Liverpool Mohamed Salah.

Perez amepanga mkakati huo ili kuufanya mwishoni mwa msimu huu akimpa nafasi kubwa ya kuchukua nafasi ya Cristiano Ronaldo. 

Taarifa imesema Perez amesema wako tayari kumtoa mshambuliaji Marco Asensio ili kupata pesa ya fedha ya kumsajili Salah.

Awali Madrid walianza mchakato wa kuhakikisha wanamsajili Salah lakini nguvu ilikuja kupotea kutokana na Mmisri huyo kuongeza mkataba mwingine na Liverpool.

1 COMMENTS:

  1. Pengo La C 7 Haliji Kufutika Madridi Na Labda Salah Na Mbape Kwa Pamoja Wakalizibe Pengo Hilo

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic