December 28, 2018


Wagombea watatu wa nafasi ya Ujumbe wa Kamati ya Utendaji Kanda namba 3 Shinyanga na Simiyu wamepita katika usaili uliofanyika Disemba 22,2018 Makao Makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF).

Majina yaliyopitishwa na Kamati ya Uchaguzi ya TFF ni Osuri Charles Kosuri,Kajanja Magesa Mugengere na Bannister Misango Rugora.

Mgombea mmoja Joseph Bihemo Timoth hakupita kwenye usaili baada ya kukosa sifa za kugombea nafasi hiyo.

Uchaguzi mdogo wa kujaza nafasi hiyo utafanyika Februari 2,2019.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic