Mtanange kati ya Yanga Sc na Ruvu Shooting umemalizika kwa Yanga kuwachapa Ruvu mabao 3-2.
Mtanange huo ambao ulionekana kuwa mgumu ambapo mpaka dakika ya Tisini timu zote mbili zilikuwa sare ya mabao 2-2, kabla ya Kiungo Mshambuliaji, Ibrahim Ajib kutoa Assist na Mshambuliaji mwenziye Makambo kutumia mwanya huo kupenyeza goli kwa kichwa lililowakamilishia Yanga mabao 3-2.
Baada ya kumalizika kwa mtanange huo Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga, Mwinyi Zahera, akazungumza na waandishi wa habari.
0 COMMENTS:
Post a Comment