January 11, 2019





Barcelona imetenga pauni million 50 kuipa Chelsea ili imtoe winga wake,  Willian. 

Barcelona wamepanga pia kuwapa Chelsea kiungo kinda aitwa Malcom.

Thamani ya Malcom ni pauni million 38 na ilimsajili kutoka katika klabu ya Bordeaux ya Ufaransa.

Sasa goma uwanjani na wanaosubiriwa ni wao Chelsea.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic