January 17, 2019

Hebu chukulia mfano umetoka ukiwa na mkeo na mwanao, mmeenda sehemu kupunga upepo mkiwa watatu tu.

Mkiwa mnaendelea kufurahi pamoja unapata wazo la kumpiga picha mwanao kwa ajili ya ukumbusho, mkeo anakaa pembeni unarekebisha kamera yako vizuri kisha unampiga picha mwanao na unagundua kitu kisichokuwa cha kawaida, utajisikiaje?

Pata mkasa huo wote hapa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic