Vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga SC jana wamekumbana na kichapo cha mabao 3-0 kutoka kwa Azam FC katika mchezo wa kundi B wa michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea kwenye Uwanja wa Amaan visiwani Zanzibar.
Mago la Azam yamefungwa na Obrey Chirwa aliyefunga mawili dakika ya 33 na 60 huku lingine likifungwa na Enock Atta kwa ‘free-kick’ dakika ya 44.
0 COMMENTS:
Post a Comment