Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga, ametaja majina ya wachezaji watano wa Simba ambao anavutiwa nao na angependa kuwasajili.
Akizungumza kupitia nyundo ya Azam TV na Baruani Muhuza, Zahera aliwataja Clatous Chama, Jonas MKude na John Bocco kuwa ndiyo wachezaji ambao angependa wasajiliwe Yanga.
Aidha Zahera alimtaja pia Meddie Kagere kuwa angestahili kusajiliwa Yanga kutokana na ubora wake ndani ya eneo la ushambuliaji.
Ukaichana na wachezaji hao, Zahera amesema wachezaji wengine wa Simba ni wazuri haina maana kuwa ni wabaya kwasababu hajawataja.
Wakati akiwasifiri wachezaji hao, Simba ilishuka dimbani jana huko Zanzibar kucheza na Chipukizi FC ambapo ilifanikiwa kuibuka na mabao 4-1 huku Kagere akiweka mbili kambani.
Akili za kuku kweli...kichwa cha habari hakiendani na habari ya ndani..Labda kwa kukusaidia mwandishi kichwa cha habari kingesema "Yanga Yatamani kusajili watano Simba" .Zahera hawezi sajili watano Simba kwani wachezaji wawili pekee wanalipwa sasa na mshahara wake!
ReplyDeleteWekeni matokeo ya Simba Jana...Sasa hao ndio wanaume wameenda Zanzibar..Salehe Jembe mkitaja kikosi cha Yanga lazims muongezi neno maangamizi,mauaji au wanaume...na matokeo ya ushindi ni bahati tu!
ReplyDeleteWanaume gani wanaacha kombe la FA wanapigwa na mashujaa, ambalo ndio lenye maana mnaenda full kwenye kombe la sh 15,000,000 na halina hata uwakilishi.
DeleteLAKINI KOCHA WAKULAUMIWA....,SIO WEWE SHABIKI.
Ilikuwa hivyo mwaka Jana wakawacheeka Simba ikafuatia wao..Hiyo milioni kumi na tank Yanga wanaihitaji sana...omba omba aibu..mwezi decemba waliomba wakapata mil 3...pato hilo LA miezi mitano..Ilikuwa sawa na kombe shilikisho wakajitoa sportpesa eti wajiandae..wakafungwa mechi zote..Kocha Simba ameona mapinduzi cup itasaidia wachezaji jitayarisha kwa mechi zinazokuja
DeleteBinzubery...Millard ago walishaweka..nyie mnabeza tu..
ReplyDeleteBaada ya huyu jamaa kujizolea sifa juu ya ufundishaji na msimamo wake sasa naona anaanza kujichanganya na kuropokwa. Awachukuwe wachezaji wa Simba hahaha. Sasa ameshajivunjia heba yake na kuanza kuandsmwa na lawama. Kama anao uwezo kuwanyakuwa wachezo aliowataja kwanza awalipe mishahara waliokuwa hawajalipwa miezi ksdhaa na pia keshaanza kujikanganya na. Sasa keshajinkanganya na nyota wake angojee baada ya kumalizika msimu wangapi atabaki nao na wangapi watahamia Simba. Huu ndio ukeeli. Naona wazi treni imeshastoka kwenye reli.
ReplyDeleteJangwani pale kuna mshahara sasa. Pale ukiuliza mshahara unaambiwa malipo mbinguni. Ukuendelea kuulizia unaambiwa wewe team Kokolanywi .Papu baada ya kuona afya inapotea zinabaki Rasta tu akajiongeza kiutu uzima. Wamebaki wakujitolea
ReplyDelete