February 25, 2019


















MWANAMUZIKI Snura Mushi'Mama Majanga' amefichua siri ambayo wengi hatuijui, eti kwenye makuzi yake alikuwa ni mvivu kiasoi kwamba kila alipokuwa akitumwa na wazazi wake alikuwa akisingizia kuumwa.


Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Snura alisema haku­wahi kupenda kutumwatumwa, alikuwa ni mvivu na kila al­ipoagizwa kufanya jambo alizua ugonjwa wa tumbo ili tu asifanye kazi husika.

"Uvivu huu acheni tu, sasa hivi nikikumbuka najiona mjinga, nilimsumbua sana bibi yangu kwa kusingizia ugonjwa, kila nikiona sasa natumwa nilikuwa naibua ugonjwa ambao sikuwa nao, bibi alinionea huruma na kunitungia jina flani kwani niliumwa kila siku," alisema Snura.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic