February 24, 2019



JUMAPILI ya leo Premier league mambo ni moto kutokana na vita ya vigogo wa soka kumenyana uso kwa uso.


Manchester United ambayo kwa sasa moto wake hauzimwi chini ya kocha wa muda Ole Gunnar Solskjaer itamenyana na Liverpool, Jurgen Klopp ambaye anatafuta kuweka historia ya kuwa kocha wa kwanza kutwaa ubingwa tangu mwaka 1990 wakati ikiwa chini ya Kenny Dalgish.

 Kwenye uwanja wa Oldtrafford majira ya saa 11:05 maajabu haya yataanza.

Liverpool ipo nafasi ya pili kwenye msimamo na ina pointi 65 kibindoni huku wapinzani wao Manchester United wakiwa nafasi ya nne na pointi 51 kibindoni.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic