February 24, 2019



LEO Jumapili timu sita zitashuka Uwanjani kumenyana kwenye kombe la Shirikisho ambalo kwa sasa bingwa atakayepatikana ni mpya kutokana na bingwa mtetezi Mtibwa Sugar kutolewa jana na KMC.

 Mchezo mkali unatarajiwa kuwa kati ya Namungo dhidi ya Yanga, uwanja wa Majaliwa uliopo Ruangwa mkoani Lindi kutokana na nafasi za timu zote kwenye ligi ambazo zinashiriki.

Yanga ni vinara wa Ligi Kuu Bara wakiwa na pointi 61 huku Namungo pia wakiwa ni vinara wa kundi A Ligi Daraja la Kwanza wakiwa na pointi 28.

Michezo mingine leo ni kati ya Alliance dhidi ya Dar City uwanja wa Nyamagana.

African Lyon dhidi ya Mbeya City uwanja wa Uhuru.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic