February 13, 2019

2 COMMENTS:

  1. Bado watu wana mashaka na uwezo zana coulibali kwa nafasi yake? Kinachonishangaza mimi ni tabia ya mtanzania aghlabu huwa hakuna tofauti kati ya wale tunaowaiita wasomi na watanzania wa kawaida. wakati mwengine mtanzania asiesoma ni mtu mwenye msimamo zaidi kwa kile anachokiamini kuliko mtanzania aliepata madarasa kwa maoni yangu mara nyingi huwa hawana msimamo na kile wanachokiamini na hapo ndipo shida inapoanza kwa watanzania. Nakumbuka makocha wazawa, waandishi wa habari,na wadau wengine walikuwa wakiisema sana Simba kuachana na fukuza fukuza za makocha pamoja na kuwatuhumu viongozi wa Simba kuwa natabia ya kumuingilia kocha kwenye majukumu yake ya kazi. Lakini sasa tunashuhudia jinsi viongozi wa Simba walivyomuamini kocha wao kuanzia kusimamia masuala ya usajili wachezaji,uajiri wa kocha msaidizi hadi upangaji vikosi vyake kocha wa Simba yupo huru kabisa ila hivi karibuni kumetokea viashirio vyote kabisa kutoka kwa walewale waliokuwa wakiwatuhumu viongozi wa Simba kuingilia majukumu ya kazi ya kocha wao? mara hii wao ndio wakishinikiza au kuushinikza uongozi wa kuingilia maamuzi ya kocha wao na mfano mzuri ni usajili wa zana coulibali? Wengi wanaosadikika au kujisadikisha kuwa wana ujuzi wa masuala ya mpira nchini walionekana wakihoji uamuzi wa kocha wa Simba kumsajili mchezaji huyo? Lakini katika mechi yake ya kwanza ya kimataifa zana coulibali ameonesha uwezo wa hali ya juu pamoja na kuanzisha shambulizi lilozaa bao la ushindi. Nnaimani kabisa tutarajie makubwa zaidi kutoka kwa zana kulibali huko twendako mara nyingi papara huleta hasara na siku zote mstahimilivu hula mbivu.

    ReplyDelete
  2. tatizo la coulibali alijiweka karibu na kujishusha akifurahia ushindi kwa kucheza kiduku kule Zanzibar na matokeo yake simba ilipotolewa wakamdharau na kumshusha thamani!!
    wabongo tumezoea kuwathamini wachezaji wanaonata na kujiona lakini hawatuletei tija yoyote uwanjani !!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic