YANGA WATOA NENO LAO KUFUATIA KIPIGO KWA SIMBA
Watani wa jadi wa klabu ya Simba ambao ni Yanga, jana walitweet kupitia ukurasa wao wa Instagram baada ya Simba kufungwa mabao 5-0 na Al Ahly.
Kipigo hicho cha Ligi ya Mabingwa Afrika katika Kundi D kiliwafanya Yanga watania kwa kuandika 'Ngapi huko' huku watu kadhaa maarufu wakikomenti ikiwemo Madee Ally.
0 COMMENTS:
Post a Comment