March 28, 2019


Mchezaji wa zamani wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer, ametangazwa kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo.

Ole amefikia makubaliano na United kwa kusaini mkataba wa miaka mitatu ambao utamfanya awe Olf Trafforf mpaka mwaka 2021.

Ole amekuwa na United tangu kufukuzwa kwa Jose Mourinho ambaye alikuwa akiifundisha United

Baada ya kusaini kandarasi hiyo, Ole amesema anafurahia kupata kibarua hicho kwani alikuwa na ndoto nacho katika maisha yake.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic