NAMNA MAMBO YALIVYO KATIKA KUNDI D HIVI SASA BAADA YA SIMBA KUCHAPWA, MSIMAMO KAMILI
Baada ya kupoteza mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya JS Saoura kwa jumla ya mabao 2-0 kunako kundi D, hivi ndivyo msimamo wa kundi hilo namna ulivyo hivi sasa.
MAANA YAKE ILI KUFUZU SIMBA INATAKIWA LAZIMA KUSHINDA MECHI YAKE NA VITA. INAWEZEKANA ILA LAZIMA KUWA SERIOUS ZAIDI.
ReplyDeleteWALE NDIO FC JEULI .
ReplyDelete