Baada ya kupokea kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya JS Saoura katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, uongozi wa Simba mechi ijayo dhidi ya AS Vita itakuwa ya kufa na kupona.
Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, ameandika kuelekea mechi hiyo hakutakuwa na cha msalia mtume.
0 COMMENTS:
Post a Comment