Lesotho wanakuwa nafasi ya pili katika msimamo sababu ya head to head na siyo sababu ya wastani wa magoli,Stars Point 5 lakini ana -2 Lesotho point 5 lakini ana -4 Manake kama ingekuwa tofauti ya magoli basi Stars angekuwa nafasi ya pili,Lakini ukirudi kwenye head to head ndipo Lesotho wanapopata faida ya kuwa juu yetu.Halafu jingine ndugu Mwandishi/Mtangazaji jitahidi basi kutofautisha kati ya herufi R na L.

ReplyDelete