April 18, 2019


BAADA ya kikosi cha Yanga kupoteza jana mbele ya Mtibwa Sugar sasa kituo kinachofuata ni dhid ya Azam FC utakaochezwa Uwanja wa Taifa, Aprili 29.

Yanga ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 na Mtibwa Uwanja wa Jamhuri, Mrogoro na kufanya ipoteze mchezo wake wa nne kati ya 32.

Timu zote mbili zimepoteza michezo yao ya mwisho kwa kufungwa bao 1-0 ugenini,

Azam FC wamepoteza leo mbele ya Ndanda FC uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic