April 19, 2019


Baada ya kutemwa na Kocha Mwinyi Zahera, imeelezwa kuwa uongozi wa Azam Fc upo katika mipango ya kunasa saini ya kipa Beno Kakolanya.

Kakolanya aliondolewa kikosini Yanga a Zahera kutokana na kugomea mechi akitaka kulipwa fedha zake za usajili na mshahara.

Taarifa hizi zimekuja kutokana na kipa huyu mpaka sasa hana timu ambayo anaweza kuichezea.

Kakolanya amekuwa akifanya mazoezi binafsi ili kujiweka fiti kabla hajapata timu kwa ajili ya mashindano yanayotambulika na TFF.

Saleh Jembe itaendelea kukupatia taarifa zaidi juu ya taarifa hizi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic