Kuna madai ya wanaosema Vibe la Simba kuelekea mechi ya Mazembe ni kama vile Simba wanahofu juu ya Mazembe? Ila ni watu haohao pia wakati mwengine hutoa mpaka kauli za vitisho kwa mashabiki wa Simba kuwa watashitakiwa CAF kwa kasi yao ya ajabu ya kuisapoti Simba yao. Ukiuuliza je ipo siku mashabiki wa Simba walishawahi kurusha chupa ya maji kwa mchezaji pinzani uwanjani club bingwa Africa? Hapana. Vipi joto la mashabiki la nje ya uwanja ikawa vurugu? Mechi kati ya Simba na Vita club sio uongo uyanga ndio uliosababisha kuwa na vibe kubwa zaidi zidi ya vita. Na kuelekea mechi na Mazembe,sio kwamba Simba wanaiogopa Mazembe, hapana. Zaidi unaweza kusema simba wameizarau hii mechi ila natumia nafasi hii kuwaasa wachezaji na viongozi wa Simba yakuwa Mazembe atabakia kuwa Mazembe Africa siku zote. Kwa hivyo wanasimba lazima waichukulie mechi na Mazembe kwa tahadhari kubwa. As Manara said the match between Simba vs Mazembe is no longer a do or die game but i believe for the Simba players this two home and away games are the game of their lives and worth to fight hard till the end. Think about Simba kicking Mazembe out of the tournament? Not just Simba proceeding to the semi final but kicking out Mazembe from caf club champion league? Of course it is a historical event for the club and players ranks as well. Mechi hizi mbili za wakongo ni kama ubatizo wa moto kwa Simba na wakivuka hapa basi Simba bingwa Africa. Simba amfunge Ahly,amfunge Vita club,amfunge Nkana, na itokezee avuke kwa Mazembe sasa Simba club gani tena itakayomzuia? Unajua hawa akina Nkana,Vita,sijui Saoura bado walikuwa na kasumba kuwa Tanzania ni sehemu ya kwenda kuchukua points na kuondoka. Wanashindwa kuelewa kuwa maisha yanakwenda kwa kasi ya ajabu duniani na Africa basi Tanzania sio sehemu ya mchezo mchezo tena.Na kwa Simba wajue ni timu yenye nguvu sana. Kuanzia mashabiki hadi viongozi ni timu iliyo chini ya uangamizi wa billionaire.Waafrica wasiichukulie poa simba hata kidogo si ajabu wameangukia pua halafu wanasingizia visingizio vya ajabu ajabu. Wale Soura walimfukuza kazi hadi kocha wao kisa Simba lakini sasa watajua kuwa Simba hawakustahili kubezwa. Ushauri kwa viongozi wa Simba wawe makini na kocha wao. Kocha ni mzuri ila anaonekana kutokuwa na imani na kupata ushindi ugenini kitu ambacho kisaikoloji kina waasiri mpka wachezaji wake pia.Simba uwezo wa kutusua mpaka fainali upo kwa asilimia 95% Wanasema aliekwisha kuwa nacho kupata zaidi ni kazi rahisi kuliko asiekuwa nacho. Na Simba mechi hii kuanzia nyumbani kuna uwezekano mkubwa wa kupata ushindi na kujiekea hakiba ya mtaji mzuri kabla ya mechi ya Lubumbashi ni wakati wa viongozi wa Simba kukaa chini na timu nzima hasa washambuliaji kuwashauri kuwa makini kuzitumia nafasi za kufunga kutumbukiza magoli mengi wavuni kadiri iwezekanavyo kwani mechi hizi za mtoano licha ya points, idadi ya magoli ndio kila kitu.
Natamani yuko kiongozi mmoja qa timu fulani anayeiakia maovu Simba angelikuwa na kiwangu ambacho angalau robo ya Manara na akaifanyia timu yake angalau robo ya yale Manara anaifanyia timu yake Simba. Manara anakufa na timu yake jinsi anavoitukuza na ni kiongozi wa aina peker who can never be cornered with high standard of flow of ideas. Anajuwa namna ya kuijenga na kuitukuza timu yake. Huyu ni kiongozi dhahabu sijawahi kumuona wala kumsikia. Ni mwenye hekima na mpendwa kwa kila mtu isipokuwa wapo wachache waoionea choyo Simba
Kuna madai ya wanaosema Vibe la Simba kuelekea mechi ya Mazembe ni kama vile Simba wanahofu juu ya Mazembe? Ila ni watu haohao pia wakati mwengine hutoa mpaka kauli za vitisho kwa mashabiki wa Simba kuwa watashitakiwa CAF kwa kasi yao ya ajabu ya kuisapoti Simba yao. Ukiuuliza je ipo siku mashabiki wa Simba walishawahi kurusha chupa ya maji kwa mchezaji pinzani uwanjani club bingwa Africa? Hapana. Vipi joto la mashabiki la nje ya uwanja ikawa vurugu? Mechi kati ya Simba na Vita club sio uongo uyanga ndio uliosababisha kuwa na vibe kubwa zaidi zidi ya vita. Na kuelekea mechi na Mazembe,sio kwamba Simba wanaiogopa Mazembe, hapana. Zaidi unaweza kusema simba wameizarau hii mechi ila natumia nafasi hii kuwaasa wachezaji na viongozi wa Simba yakuwa Mazembe atabakia kuwa Mazembe Africa siku zote. Kwa hivyo wanasimba lazima waichukulie mechi na Mazembe kwa tahadhari kubwa. As Manara said the match between Simba vs Mazembe is no longer a do or die game but i believe for the Simba players this two home and away games are the game of their lives and worth to fight hard till the end. Think about Simba kicking Mazembe out of the tournament? Not just Simba proceeding to the semi final but kicking out Mazembe from caf club champion league? Of course it is a historical event for the club and players ranks as well. Mechi hizi mbili za wakongo ni kama ubatizo wa moto kwa Simba na wakivuka hapa basi Simba bingwa Africa. Simba amfunge Ahly,amfunge Vita club,amfunge Nkana, na itokezee avuke kwa Mazembe sasa Simba club gani tena itakayomzuia? Unajua hawa akina Nkana,Vita,sijui Saoura bado walikuwa na kasumba kuwa Tanzania ni sehemu ya kwenda kuchukua points na kuondoka. Wanashindwa kuelewa kuwa maisha yanakwenda kwa kasi ya ajabu duniani na Africa basi Tanzania sio sehemu ya mchezo mchezo tena.Na kwa Simba wajue ni timu yenye nguvu sana. Kuanzia mashabiki hadi viongozi ni timu iliyo chini ya uangamizi wa billionaire.Waafrica wasiichukulie poa simba hata kidogo si ajabu wameangukia pua halafu wanasingizia visingizio vya ajabu ajabu. Wale Soura walimfukuza kazi hadi kocha wao kisa Simba lakini sasa watajua kuwa Simba hawakustahili kubezwa. Ushauri kwa viongozi wa Simba wawe makini na kocha wao. Kocha ni mzuri ila anaonekana kutokuwa na imani na kupata ushindi ugenini kitu ambacho kisaikoloji kina waasiri mpka wachezaji wake pia.Simba uwezo wa kutusua mpaka fainali upo kwa asilimia 95% Wanasema aliekwisha kuwa nacho kupata zaidi ni kazi rahisi kuliko asiekuwa nacho. Na Simba mechi hii kuanzia nyumbani kuna uwezekano mkubwa wa kupata ushindi na kujiekea hakiba ya mtaji mzuri kabla ya mechi ya Lubumbashi ni wakati wa viongozi wa Simba kukaa chini na timu nzima hasa washambuliaji kuwashauri kuwa makini kuzitumia nafasi za kufunga kutumbukiza magoli mengi wavuni kadiri iwezekanavyo kwani mechi hizi za mtoano licha ya points, idadi ya magoli ndio kila kitu.
ReplyDeleteNatamani yuko kiongozi mmoja qa timu fulani anayeiakia maovu Simba angelikuwa na kiwangu ambacho angalau robo ya Manara na akaifanyia timu yake angalau robo ya yale Manara anaifanyia timu yake Simba. Manara anakufa na timu yake jinsi anavoitukuza na ni kiongozi wa aina peker who can never be cornered with high standard of flow of ideas. Anajuwa namna ya kuijenga na kuitukuza timu yake. Huyu ni kiongozi dhahabu sijawahi kumuona wala kumsikia. Ni mwenye hekima na mpendwa kwa kila mtu isipokuwa wapo wachache waoionea choyo Simba
ReplyDelete