Mchezaji wa Simba Mohammed Hussein Tshabalala amesema kuwa wamefanya makosa katika mchezo huo lakini wamepambana kwa uwezo wao lakini hawajafanikiwa kupata matokeo watajipanga upya katika mchezo wa marudiano nchini Congo.
Simba wametoka sare ya bila kufungana katika mchezo huo wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika hatua ya Robo fainali.
0 COMMENTS:
Post a Comment