VIDEO: KOCHA ZAHERA ALIVYOWATOA MACHOZI MASHABIKI YANGA KWENYE HARAMBEE Kocha wa Yanga akizungumza wakati wa uchangiaji wa timu ya Yanga jijini dodoma amsema kuwa yeye kuondoka Yanga ni mpaka afukuzwe na uongozi wa club hii
Gud newz
ReplyDeleteutafukuzwa tu hv unadhani bongo wanashukrani tena utawachukia mpaka bas we subiri mda ufike wazipate fedha uone ndo utajua uungwana uko wapi
ReplyDelete