KIKOSI cha Simba kimewasili jana usiku katika uwanja wa Ndege wa Kimatifa wa Mwalimu Julius Nyerere baada ya kutoka Lubumbashi ilikocheza mchezo wao wa hatua ya Robo fainali Ligi ya Mbaingwa Barani Afrika dhidi ya TP Mazembe na kutolewa katika michuano hiyo kwa jumla ya mabao 4-1.
Simba imerejea kuendelea na Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuondolewa katika michuano.
0 COMMENTS:
Post a Comment