Kama anachokiwaza Mwinyi Zahera kitatekelezeka kwa wakati Simba wakipindua meza na kubeba Kombe la ligi kuu bara, mashabiki wa Yanga haitawaumiza .Anawashusha mastaa wanaozungumza kifaransa.
Zahera anafanya mambo kizungu sana na huenda msimu huu wachezaji wa yanga wakajua hatma zao mapema sana jambo ambalo halikuwahi kutokea kwenye miaka ya hivi karibuni.
0 COMMENTS:
Post a Comment