KLABU ya Yanga imetozwa faini ya sh. 500,000 (laki tano) kutokana na washabiki wake kuwarushia chupa za maji waamuzi wakati wakirejea vyumbani baada ya mechi hiyo kumalizika Adhabu hiyo imetolewa kwa kuzingatia Kanuni ya 43(1) ya Ligi Kuu Toleo la 2018 kuhusu Udhibiti kwa Klabu.
tff huwa wanamuona ninja na yanga ila juuko kupga watu vgoti vya kichwa refa anamuomba radhi na kumbembeleza asirudie kung fu ila ninja umeme unatoka mechi anafungiwa na fain juu,
tff inaibeba sana yanga
ReplyDeletetff huwa wanamuona ninja na yanga ila juuko kupga watu vgoti vya kichwa refa anamuomba radhi na kumbembeleza asirudie kung fu ila ninja umeme unatoka mechi anafungiwa na fain juu,
ReplyDelete