May 25, 2019


WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo Tanzania Dr. Harrison Mwakyembe kesho atawaongoza watanzania kumpokea nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Mbwana Samatta.

Samatta ambaye ni mchezaji wa timu ya KRC Genk ya Ubelgij atashuka nchini usiku wa saa 9 kwa ajili ya kujiunga na Timu ya Taifa ambayo inakwenda kushiki michuano ya Afcon nchini Misri na inakwenda ikiwa ni baada ya miaka 39 kupita.

Kabla ya kwenda Misri, Samatta atacheza mchezo wa kirafiki na timu Kiba, Juni 2 mwaka huu uwanja wa Taifa ikiwa ni maalumu kwa ajili ya kurejesha shukrani kwa jamii.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic