May 9, 2019


Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti katika klabu ya Yanga, Yono Kevela leo ametoa kiasi cha shilingi, milioni 20.

Kevela ametoa fedha hizo kwa uongozi mpya wa klabu hiyo ikiwa ni sehemu ya kutimiza ahadi aliyoitoa wakati wa kampeni.

Kevela ameamua kutoa fedha hizo ambazo zitakuwa sehemu ya mchango ndani ya klabu kwa ajili ya kuendeleza mipango mbalimbali ya maendeleo.

Fedha hizo zitasaidia katika masuala mbalimbali ya Yanga ikiwemo suala la usajili na mambo mengine.

5 COMMENTS:

  1. kichwa cha habari hakiendan na kilichoandikwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Uko sawa kabisa bro,yaani utakua na hamu ya kusoma halafu hamna kitu

      Delete
  2. Usajili WA kufa na mtu wa shilingi hizo milioni 20 ambazo hauwezi kumnunua hata mchezaji mzawa aliyewahi kusajili magoli matatu katika msimu mmoja ndio utaweza kumsajili Yule pacha wa Kagere wa Kenya?

    ReplyDelete
  3. Muandish umejali maslah yako bnafsi headline umeipaka chumvi kupta kiasi.hiv mfano ungeandika tu.Mwanachama Yanga atimiza ahadi yake kwa klabu. Watu wasingeisoma habar yako

    ReplyDelete
  4. Hajakosea yuko saw a mwandishi....USAJILI UJAO NI WA KUFA MTU...full stop!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic